Salaam wandugu na wadau..!!!
Huwa napenda sana habari za mahela hasa kutazama channel flani zinaitwa Bloomberg na CNBC.
I took my time kuresearch what stock broker/traders really do
na kwa wale wapenda Movie nafkiri mmeshatazama Pursuit of happiness ya Will Smith na
Wall Street money never sleeps!!let me call hii ni kama Obsession kwangu ila
nataka iwe reality,although by training mimi ni mhandisi,sina ile top notch finance or economics background.
SWALI. Je stock market yetu ya hapa bongo ya pale JM MAll inatoa room kwa kujiunga na
kufanya izo mishemishe.
Tafadhali,msaada kwa mdau 'enu wadau...Nawakilisha...