Nashangaa jinsi gani unaweza kupata muda wa kufikiria mambo hayo labda kwa kuwa kazi zangu haziruhusu kusikia vipindi va burudan na Mziki muda mwingi... Kwangu mimi Siwezi kufuatilia lakini nafurah kukuona umeamua hadi kuulizia huku
Kwa hiyo wewe unachojua ni kula na kukata gogo tu? Kwa jinsi ulivyojieleza sidhani kama hata habari za kukojozana zinakuhusu...Kuna watu mnajua kuumiza vichwa
Me kwa kweli vitu vingi kujua naona sio poa
Tigo whats app G nakoUzi huu ni maalum kuwatambua wasanii wanaoimba katika matangazo mbalimbali kwenye redio na luninga zetu bongo. Huwa yanavutia sana kwa sauti za kupendeza. Napenda kuwafahamu walioimba matangazo yafuatayo;
1. Pamoja nawe PSPF
2. Mimi na wewe yule Azam cola
3. tigo whatsup
4.onja msisimko Coca cola
---English version
5.CRDB
6. kuna matangazo huwa kama nasikia sauti ya Shaa au Enika sijui kama nipo sawa
7. Ongeza na matangazo mengine na waimbaji wake