napenda kuwashukuru watu wa namna hii humu ndani

huyu dogo ndio wale wanaoingi internet hawana la kufanya. Anaingia anapost mada za kifacebook ili mradi tu aonekane ameanzisha mada. Na yeye

najua ulitaka ushukuru wewe, huna jipya weye sepa tu.
 
huyu dogo ndio wale wanaoingi internet hawana la kufanya. Anaingia anapost mada za kifacebook ili mradi tu aonekane ameanzisha mada. Na yeye

wee unaejua kiswahili vizuri nipe maana ya hicho kiswahili chako "kifacebook" unatoa lawama tu kuna kiswahili cha namna hiyo?
 
Ze Blessed et al, karibuni tena na tena kwa ushauri. Sijasoma UDSM, lakini basically politics za chuo zimefanana almost kote duniani.
Ushauri wa bure, epuka kuwa distracted kwa mambo ambayo hayatakusaidia kamwe. Mfano mzuri, mmetumia muda wa kutosha kujibishana kuhusu lugha yako. Soma, potezea. Chuo utawakuta wa hivi wengi tu, tena jitu linakuambia course unayosoma haitakusaidia lolote, haina future blah blah! Usiwasikilize, piga msuli faulu uje na gamba kitaa.

Kila la kheri. Msivae tu mlegezo, mtaniudhi kidogo.
 
Last edited by a moderator:

pamoja sana ndugu yangu na nimekuelewa sana nashukuru pia kwa ushauri wako mzuri, stay blessed
 
Last edited by a moderator:

Kama ni memba mpya ungututendea haki sote kwa kuandika lugha ya JF na si hiyo lugha ya sms za mapenzi ya vijana.

Hiyo lugha JF haikubaliki na moderators walishaitolea ufafanuzi siku za nyuma. Tafadhali rekebisha.
 
Hata kichaa anaweza kufikisha ujumbe,jaribu kujitofautisha...hivi kuandika 'hope' inakuchukulia dakika ngapi?Uko bize sana?

kaka kila baada ya neno kwenye huwa tunaacha nafasi, kiswahili cha wapi hicho kaka unaona ulivyo...., nini maana ya kujishaua na wakati hata wewe kiswahili hujui? Kuwa makini ndugu. Lako hilo.
 
kaka kila baada ya neno kwenye huwa tunaacha nafasi, kiswahili cha wapi hicho kaka unaona ulivyo...., nini maana ya kujishaua na wakati hata wewe kiswahili hujui? Kuwa makini ndugu. Lako hilo.

Ungejaribu kuonesha nilipokosea labda ningekuelewa...Ushauri wa bure,jaribu kuanza sentensi zako kwa herufi kubwa,hata mwanafunzi wa darasa la nne analijua hili...Huwa tunaweka three dots,ndio kanuni.
 
hebu edit halafu post upya mdau,coz ni kama ulikuwa unatetemeka unavyoandika
 
Ungejaribu kuonesha nilipokosea labda ningekuelewa...Ushauri wa bure,jaribu kuanza sentensi zako kwa herufi kubwa,hata mwanafunzi wa darasa la nne analijua hili...Huwa tunaweka three dots,ndio kanuni.

haina ulazima kuanza kwa herufi kubwa siku darasani, ila kila baada ya kuweka alama fulani mfano kituo, mkato na mengineyo unatakiwa kuacha nafasi alafu uanze neno jingine, halafu hattuna three dots kwenye kiswahili, umenipata?
 
kama ni muhehe wa kule kwetu kilolo unaweza ukaomba kamba ujinyongee jukwaani, hivii ni kwamba jamaa hajaeleweka alichoongea au ni moja ya kanuni ya hili jukwaa kwamba lazima nipinge hoja hata kama inaeleweka. mi nimeelewa kilichoandikwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…