Natamani nisingezaliwa
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 112
- 265
Napenda kuwashukuru wote mlionisaidia kwenye changamoto yangu niliopitia nilienda hospitali nikapata tiba nilisafishwa uchafu wote na sasa naendelea vizuri haswa mazoezi nafanya vizuriii humu kuna watu wema sana nashindwa kuwalipa kwa mtu yeyote alietoa msaada wake kunisaidia ila naamin mungu atawabariki. Kwa sasa hivi nipo vizurii changamoto ni vile mashine haisimami vizurii kwa hiyo kama kuna mtu ana dawa yake anisaidie.