Napenda LLB, BA

Napenda LLB, BA

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Naomba kufahamu kama mtu mwenye diploma in journalism anaweza kudahiliwa kusomea LLB na BA-International Relations.
 
anaweza coz kuna jamaa mmoja nilisomaga LLB naye alisoma dip ya jornalism akajafanya LLB na sasa ni faculty dean chuo kioja huko iringa
 
Nadhani hata Dr Mwakyembe alianzia huko huko.
 
Perry naipenda ndio maana nataka kuchukua proper degree
 
Back
Top Bottom