simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Ndo nn.??U-Nyoso unahusika
Tafadhaliii sana Rejea DP yako mkuu[emoji1] [emoji1]Ndo nn.??
Nilijua ni DP yako ya akiba mkuuMuda mwingine cjui ni mawazo au ni nini # eti najibu kama mimi ndo..
>. Simba Mweupe.
Dah sorry wana JF
[emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Am not #Simba mweupe.. sori
Mawazo mengiiiii had nacomment kweny uzi wa mwngne
Napenda kula mtoto WA kotelaUnapenda kula wewe..
Tushajua una id mbili, usihofu we jimwage tu kotekote, hata bro munene huwaga anajisahau kama hivi alafu tunampotezea tu.Muda mwingine cjui ni mawazo au ni nini # eti najibu kama mimi ndo..
>. Simba Mweupe.
Dah sorry wana JF
Tehh tehhhhhuwe unazungumza Kiswahili vizuri na una misamiati ya kutosha
Utawezaje ku comment kwa mtu bila ku log out na ku saign in...Tushajua una id mbili, usihofu we jimwage tu kotekote, hata bro munene huwaga anajisahau kama hivi alafu tunampotezea tu.
Chekechea nd nin.?Itabidi uchonge wako mwenyewe au agizia kutoka china. Ugunja kuna sehemu inaitwa mombasa jioni pamechangamka naona wadada wanapita pita tu,tega maeneo hayo utaibuka na chombo cha ukweli. Ila jiandae kua na chekechea.
Wacha kujidanganya kwani hilo unalolizungumza kwa sasa ni kama fashion nchi yote.U-Nyoso unahusika
Mkuu ww wa huko nn?Wacha kujidanganya kwani hilo unalolizungumza kwa sasa ni kama fashion nchi yote.
Asante1. Uwe muislam
2. Ukoo wako uwe unajulikana
3. Mahari wengi wao saivi wanataka thamani mfano kitanda, kabati nk kuliko cash
4. Makazi uwe nayo ya uhakika kwani hawapendi kuhama hama.
5. Ujue kudekeza maana kwa apo wapo vizuri.
6. Hawawezi kazi ngumu sana mfano kulima, au mihangaiko mikubwa wengi wao wamelelewa kuwa wake.
7. Uwe na uwezo wa kumuhudumia haswa kwa mavazi maana mara nyingi hutaka sare kwa ajili ya chai au uradi nk.
Natumai nimekusaidia kiasi