1. Uwe muislam
2. Ukoo wako uwe unajulikana
3. Mahari wengi wao saivi wanataka thamani mfano kitanda, kabati nk kuliko cash
4. Makazi uwe nayo ya uhakika kwani hawapendi kuhama hama.
5. Ujue kudekeza maana kwa apo wapo vizuri.
6. Hawawezi kazi ngumu sana mfano kulima, au mihangaiko mikubwa wengi wao wamelelewa kuwa wake.
7. Uwe na uwezo wa kumuhudumia haswa kwa mavazi maana mara nyingi hutaka sare kwa ajili ya chai au uradi nk.
Natumai nimekusaidia kiasi