Napenda ngono kupita maelezo

Napenda ngono kupita maelezo

masaumbe

Member
Joined
May 28, 2013
Posts
42
Reaction score
11
Habari za Jioni,mimi ni kijana wa Kitanzania ambaye nimeanza mapenz nikiwa darasa la sita,nimeishi na maisha ya kupenda Ngono kwani nimekuwa na wanawake tofauti tofauti,sasa hivi nina miaka 26,na nimeshatembea na zaidi ya wanawake 100+,kwa hii hidadi najiona kama uzinzi wangu umezidi,bado na hata leo tu nimeshazini na mwanamke mwingine tofauti na yule wa Jumapili,Hii hali siipendi na inaniumiza sanaa akili,nimejaribu hata kumwomba mungu kupitia malaika zake waniongoze kwa hili coz muda mwingine nikiwa kanisani nasahau kufwata Ibada na kuwaza ngono tu.
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu.
 
Biblia inasema ikimbie zinaa...

Maana yake epuka vishawishi na namna yoyote ile ikupelekeayo kuwa na tamaa ya ngono.
 
Kwa hiyo 'hidadi' shingo yako itakuwa ndefu kama twiga(law of use and misuse)
 
Habari za Jioni,mimi ni kijana wa Kitanzania ambaye nimeanza mapenz nikiwa darasa la sita,nimeishi na maisha ya kupenda Ngono kwani nimekuwa na wanawake tofauti tofauti,sasa hivi nina miaka 26,na nimeshatembea na zaidi ya wanawake 100+,kwa hii hidadi najiona kama uzinzi wangu umezidi,bado na hata leo tu nimeshazini na mwanamke mwingine tofauti na yule wa Jumapili,Hii hali siipendi na inaniumiza sanaa akili,nimejaribu hata kumwomba mungu kupitia malaika zake waniongoze kwa hili coz muda mwingine nikiwa kanisani nasahau kufwata Ibada na kuwaza ngono tu.
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu.
Unajua ukishajua tatizo ni nusu ya ufumbuzi, endelea kujitambua maana hapo kwangu mim una ugonjwa wa kutojitambua
 
Okoka utapona.

Kuokoka ni kumkataa shetani na kazi zake zote.kubali kuokoka leo UEPUKE madhara ya dhambi hii mbaya kuliko zote.
 
Habari za Jioni,mimi ni kijana wa Kitanzania ambaye nimeanza mapenz nikiwa darasa la sita,nimeishi na maisha ya kupenda Ngono kwani nimekuwa na wanawake tofauti tofauti,sasa hivi nina miaka 26,na nimeshatembea na zaidi ya wanawake 100+,kwa hii hidadi najiona kama uzinzi wangu umezidi,bado na hata leo tu nimeshazini na mwanamke mwingine tofauti na yule wa Jumapili,Hii hali siipendi na inaniumiza sanaa akili,nimejaribu hata kumwomba mungu kupitia malaika zake waniongoze kwa hili coz muda mwingine nikiwa kanisani nasahau kufwata Ibada na kuwaza ngono tu.
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu.

Ngoja nikupe kanuni na future otenativu wei za kiteni"kwanza mpe mwanafunzi mimba then wakikutia rumande kule hakuna mademu basi utakaa muda mrefu bila ngono ila utapiga sana nyeto ukitoka rafiki yako atakua nyeto na sio ngono by prison soba house
 
Madaktari humu JF wameisha? Naona mnapenda kuvamia majukwaa, au mna vyeti vya kuchakachua. Kweli ushauri ni sehemu ya tiba na pia hutolewa na madaktari au hata mtu mwingine.

Lakini hata hvo hamtoi ushauri wa mashiko, mnajiachia tu.
 
Habari za Jioni,mimi ni kijana wa Kitanzania ambaye nimeanza mapenz nikiwa darasa la sita,nimeishi na maisha ya kupenda Ngono kwani nimekuwa na wanawake tofauti tofauti,sasa hivi nina miaka 26,na nimeshatembea na zaidi ya wanawake 100+,kwa hii hidadi najiona kama uzinzi wangu umezidi,bado na hata leo tu nimeshazini na mwanamke mwingine tofauti na yule wa Jumapili,Hii hali siipendi na inaniumiza sanaa akili,nimejaribu hata kumwomba mungu kupitia malaika zake waniongoze kwa hili coz muda mwingine nikiwa kanisani nasahau kufwata Ibada na kuwaza ngono tu.
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu.

Ukizidi itabidi uwe unagawa 0713
 
Wee lazma uondoke na ngoma!

Usipo shtuka! Utaondoka na kilo mbili!
Na jeneza lako mfuko wa rambo unatosha!
 
Habari za Jioni,mimi ni kijana wa Kitanzania ambaye nimeanza mapenz nikiwa darasa la sita,nimeishi na maisha ya kupenda Ngono kwani nimekuwa na wanawake tofauti tofauti,sasa hivi nina miaka 26,na nimeshatembea na zaidi ya wanawake 100+,kwa hii hidadi najiona kama uzinzi wangu umezidi,bado na hata leo tu nimeshazini na mwanamke mwingine tofauti na yule wa Jumapili,Hii hali siipendi na inaniumiza sanaa akili,nimejaribu hata kumwomba mungu kupitia malaika zake waniongoze kwa hili coz muda mwingine nikiwa kanisani nasahau kufwata Ibada na kuwaza ngono tu.
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu.
Mdogo wetu epuka zinaa kwa Nyanja zote, Mwisho wako utakosa ridhaa na kupungukiwa riziki....! Dawa yake ni kunga siku na kula siku, saumu ni njia nzuri kutotamani vishawishi vya "ngonoz"
 
Back
Top Bottom