Napenda ngono kupita maelezo

Wee lazma uondoke na ngoma!

Usipo shtuka! Utaondoka na kilo mbili!
Na jeneza lako mfuko wa rambo unatosha!

Acheni kumtishia dogo, mpeni ushauri wa jinsi ya kuikimbia zinaa, kuna mtu hapa ambaye hapendi kutiana? wewe umepima?
 
Unaishi wapi?

Ngoja nikupe kanuni na future otenativu wei za kiteni"kwanza mpe mwanafunzi mimba then wakikutia rumande kule hakuna mademu basi utakaa muda mrefu bila ngono ila utapiga sana nyeto ukitoka rafiki yako atakua nyeto na sio ngono by prison soba house

Nyie watu! Mwenzenu ameshajua kuwa ana tatizo, sasa ushauri gani huu mnaompa??? Nyie vipi nyie???!!!
 
Jamaa kaomba ushauri kwenye forum husika! Watu mnajibu kama mko chit chat au udaku!
Jaribuni kutofautisha ni wapi forum za mzaha na ni wapi mtu anaweza kuwa serious na shida zake!
Dah JF siku hizi!
Anyways masaumbe, kwanza pole sana. tatizo lako medically linaitwa nymphomania na wewe ni nymphomaniac.
Ni tatizo laki psychologia na linahitaji counselling tena ya mda mrefu na trained psychologist.
Kwa bahati mbaya sina naemjua bongo. Howver unaweza google ways to cure nymphomania na ujaribu kujitibu mwenyewe.
 
Una pepo la ngono unahitaji maombi sana la sivyo tunapoteza nguvu kazi ya taifa.
 
Duh!! Piga nyeto

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Ukitambua tatizo ni kama nusu yake umeshaanza kulitatua tatizo, jitahidi kufanya mazoezi, kusali na ukiweza waone washauri (counsellers) watakusaidia sana.
 

Angalia usije ukampitia na dada'ako tumbo moja
 
jaribu kuwa busy pia jitaidi kuepuka vishawishi, vinginevyo UKIMWI una kunyemelea.
 
 
Pole sana dogo kwa tatizo hilo.ila nakushauri kwanza kapime HIV.and jaribu kuwa busy na kufanya mazoezi kama kucheza mpira.pia epuka vishawishi kama movies za sex.picha za uchi.epuka marafiki wanaopenda story za ngono.soma sana neno la mungu biblia na mkili yesu kwa bwana mwokozi wa maisha yako .yeye ndiye atakuwezesha kulikimbiza hilo pepo la zinaa.hakuna njia nyingi zaidi ya yesu la siyo utaondoka na kilo mbili.mungu akubariki
 


Wewe una pepo la ngono hivyo unatakiwa ugongwe ndio utaacha.
 
Kuwa PORN STAR, ili uwe unapata raha huku unapata pesa sivyo ni sifa za kijinga tu hizo.
 
Ni kujiendekeza tu kwani ukiamua kwa dhati kabisa unaacha hiyo tabia.
 
Kapime kwanza ngoma,wanawake mia huwezi kukosa ngoma,inasikitisha sana mtoto mdogo miaka 26 una ngoma! mwee
 
Jitaidi kushndana na nafsi yako.....yaan usiiendekeze nafsi yako pingana nayo.....then ujitaidi kuji keep bussy all the times pia ibada usiache mungu atakusAidia kama utakua tayari kujisaidia
 
kaa karibu sana na mungu atakusaidia,halafu epuka mawazo ya ngono jaribu kujiweka bize na vitu mbalimbali
 
Hao mia tu mbona ukiwapanga toka city centre hadi ubungo hawafiki?, jitahidi wawe wengi ukiwapanga wafike morogoro, na hapo ndipo utakapoacha au kuachishwa zinaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…