Napenda nijue kichaga japo salamu

Napenda nijue kichaga japo salamu

astredy

Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
9
Reaction score
1
Naitwa astredy lyimo nimzawa wa mbeya ila niliambiwa baba yangu ni mchaga natamani kujua kichaga hata maneno 10 nisaidieni wana jf
 
Lyimo ya wapi maana kila eneo lina matamshi tofauti kiasi.
 
Asubuhi wanasema "Aikambe" anajibiwa Ngiura mapore na kathafu kathathile
 
Hapana Rombo sio shimboni?
Asubuhi=Waahamka, Ngaamka
Jioni= Wasinda, shamesha
 
Astredy Lyimo Mrombo. Kiongozi tafuta wakili au nenda mahakamani ukaape (affidavit) ya kubadili kabila, rombo umesikia habari zake?
 
Back
Top Bottom