JOYOPAPASI
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 250
- 409
Napenda Niwapeni Pole ninyi Jubilee Party Forum kwa Maandishi Yenu Ya Ubaguzi na Ya Hovyo...Kwanza mnatakiwa Muelewe leo Sisi Watanzania Tunamuelewa na Tunampenda RAIS wetu mpendwa RAIS John Joseph POMBE MagufuliJP...Ni RAIS aliyetuheshimisha Duniani Kuanzia Miradi mikubwa, Heshima ya kutotangatanga nje kuwaonesha WAZUNGU Kuwa Nchi Yetu Ni Tajiri na si LAZIMA kwenda kuwaomba na kuwapigia magoti....ameendelea kuzunguka nchini na kuhamasisha MAENDELEO lakini kubwa hili la Juzi Ugonjwa wa Korona...ametulia akatumia akili akahamasisha na Ugonjwa umekoma So lazima mjue RAIS wetu mpendwa #JPM hajatufungia ndani na hatujafa Kama vibudu...Ninyi mnatakiwa Tuungane tuendelee kupata Marais wenye Akili Kama RAIS Dkt MagufuliJP kwenye Jumuiya Ya Afrika Mashariki.
Mwisho Jueni Watanzania wanampenda Sana Tena Sana RAIS wao Karibuni Mjioneee na mjionee na MAENDELEO Sekta zoote.
Mwisho Jueni Watanzania wanampenda Sana Tena Sana RAIS wao Karibuni Mjioneee na mjionee na MAENDELEO Sekta zoote.