Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 5,986
Ni ugali dona na samaki wa kukaanga kwa mafuta ya alizeti.Ni dozi ya kila siku asubuhi saa1.Binafsi situmii chai maana sijawahi kuipenda chai.Msaada tafadhali jee kuna madhala yoyote ntayapata kiafya?
Mimi ni mwanaume mrefu ft5.11,uzito wangu ni kilo92-94 na asili yangu ni mkoa wa Mara.Mazoezi nafanya ya wastani ikiwa ni pamoja na kukimbia mwendo wa 3kms every day na some times natembea kwa miguu kutoka job katikati ya jiji la Dar mpaka.home mitaa ya Gomz!