mkuu..urefu wako hauendani na kilo ulizonazo..we utakuwa na obesity
yeah........
Una maana BMI (Body Mass Index)?
nashauri utengeneze sosi badala ya samaki mkavu i mean samaki wa mchozi rojo, then asbh kabla ya kupiga hiyo menu uanze na maji ya uvuguvugu angalau glass mbili nusu saa kabla ili kutayarisha tumbo kupokea msosi. Kila la heri me naona uko poa tu.
Nlihisi tu, kwa menu hiyo kama sio wa mara utakua msukuma