Villky_J JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 492 Reaction score 609 Apr 16, 2017 #1 Naombeni ushauri nifanyeje ili kuwa na brand ya nguo ikiwa mm sio maarufu..na kwa kuanzia inahitaji kama kiasi gan hv..mnaofahamu tafadhali
Naombeni ushauri nifanyeje ili kuwa na brand ya nguo ikiwa mm sio maarufu..na kwa kuanzia inahitaji kama kiasi gan hv..mnaofahamu tafadhali
Powder JF-Expert Member Joined Jan 6, 2016 Posts 4,977 Reaction score 6,635 Apr 16, 2017 #2 Kama una new idea Si lazima uwe NA Capital, unahitaji kuandaa Business plan including Drawing za idea yako, then zipo kampani zina support watu wenye ideas Kama zako.
Kama una new idea Si lazima uwe NA Capital, unahitaji kuandaa Business plan including Drawing za idea yako, then zipo kampani zina support watu wenye ideas Kama zako.
runna JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 343 Reaction score 791 Apr 16, 2017 #3 Kwanza kabla kuanza kufikiria clothing lini?? Je unapenda masuala ya Fashion na Je unajua Trendy za Fashion??
Kwanza kabla kuanza kufikiria clothing lini?? Je unapenda masuala ya Fashion na Je unajua Trendy za Fashion??
Villky_J JF-Expert Member Joined Mar 14, 2017 Posts 492 Reaction score 609 Apr 16, 2017 Thread starter #4 runna said: Kwanza kabla kuanza kufikiria clothing lini?? Je unapenda masuala ya Fashion na Je unajua Trendy za Fashion?? Click to expand... Napenda sana fashion na nafwatilia kila kukicha kuhusu hilo kwangu sio tatizo
runna said: Kwanza kabla kuanza kufikiria clothing lini?? Je unapenda masuala ya Fashion na Je unajua Trendy za Fashion?? Click to expand... Napenda sana fashion na nafwatilia kila kukicha kuhusu hilo kwangu sio tatizo
T tyger trizzy Member Joined Apr 16, 2017 Posts 8 Reaction score 0 Apr 17, 2017 #5 Villky_J said: Napenda sana fashion na nafwatilia kila kukicha kuhusu hilo kwangu sio tatizo Click to expand... Kweli
Villky_J said: Napenda sana fashion na nafwatilia kila kukicha kuhusu hilo kwangu sio tatizo Click to expand... Kweli