Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
OhoooooooWe nae unachosha. Mara umepata supp 5/8, Mara unahofia umeshapata ukimwi kw akupenda makahaba, mara unapenda wahuni.
Take a break. Jitathmini upya. Wewe ni mvulana ujue?
Unatakiwa ukue uwe mwanamme na dizain flani unachelewa.
Sijui ndo nyie mnaitwa ma bwege?
Tulia bintiUnaboa, nimefungua uzi wako kuandika haya. I hope unajijenga kimaisha na sio kuondoa ndoto zako za hewani humu kwa kukosa la kufanya.
Yap ni kweli mkuu ndio maana nawapenda sana hawana pigo za kujiskia wala tabia za kusengenya sengenyawahuni wako real sana kama umezingua anakuchana live uwo ndo uzuri na wnatoa msaada vilivyo ila mambo ya ngada na pombe ndo wnazingua
ila hawo wanaojikuta magentel duuuh mashauzi ubinfsi uchoyo umbea yana vyote vyao
Aisifuye mvua imemnyeaWatakupumulia wahuni hawana maana....umejiandaaje
Tofauti yao ni kuwa hawajiskiiTofauti yao ni ipi?
Dogo umepotea njia hujielewi afu unaona kila mtu hapa jukwaani ni mtoto mwenzio...Grow up sonAisifuye mvua imemnyea
Vipi washa kupumulia nini?
jamaa ni bwege kweli...We nae unachosha. Mara umepata supp 5/8, Mara unahofia umeshapata ukimwi kw akupenda makahaba, mara unapenda wahuni.
Take a break. Jitathmini upya. Wewe ni mvulana ujue?
Unatakiwa ukue uwe mwanamme na dizain flani unachelewa.
Sijui ndo nyie mnaitwa ma bwege?
Ume koment kwenye mada ya kipunga kwa hiyo na wewe punga si ndio maana yake??Ume-sound kipunga punga aisee, mada kama hizi ni za women bhana!
Sawa bwege mwenzangujamaa ni bwege kweli...