Bandugu zangu, yaani nikila samaki sibakishi kitu, hata iwe mifupa kiasi gani, kuanzia mikia ule mwiba mpaka kichww, na nikila nyama, mfano ya kuku wa kienyeji yani, ukinikuta utashangaa, nafunja tu mifupa yote, je hilo ni tatizo?? na je haliwezi kuleta madhara kwenye kidole tumbo?? msaada please