una mapepo na ndiyo maana yanakupa vitu vya hovyo hovyo , mfano kuna wengine wanakula mkaa, michanga, vichungi vya sigara , wewe mifupa, n.k inawezekana kitaalamu wakakupa jibu lakini mara nyingi halijitoshelezi , nenda kanisani kaombewe au kwa sheikh akupe hayo madua ,kombe n.kBandugu zangu, yaani nikila samaki sibakishi kitu, hata iwe mifupa kiasi gani, kuanzia mikia ule mwiba mpaka kichww, na nikila nyama, mfano ya kuku wa kienyeji yani, ukinikuta utashangaa, nafunja tu mifupa yote, je hilo ni tatizo?? na je haliwezi kuleta madhara kwenye kidole tumbo?? msaada please
una mapepo na ndiyo maana yanakupa vitu vya hovyo hovyo , mfano kuna wengine wanakula mkaa, michanga, vichungi vya sigara , wewe mifupa, n.k inawezekana kitaalamu wakakupa jibu lakini mara nyingi halijitoshelezi , nenda kanisani kaombewe au kwa sheikh akupe hayo madua ,kombe n.k
ok nimekupata mazoea ya kawaida yaani kama mimi nikiona mechi za uefa na usingizi unaruka na kesho yake siendi kazini kwa uchovu binafsi wa kujitakiasi kwamba nina mapepo, mi nimeokoka, na si kwamba nikikosa hivyo vitu napagawa hapana, yani ninapokula samaki au nyama, napenda kutafuna mpaka miba au mifupa
Huna pesa ya kula nyama wewe; nunua samaki wengi si kukumbatia kadagaa kadogo fanya hima
Inawezekana kweli, lakini jamani mifupa mitamu.
Samaki wa kukaanga, kuku wa kukaanga, unaweza kula hadi manyoa
Afu kama ni ng'ombe au mbuzi raha ule 'mbuguswa' au bone marrow
Bone marrow kwa kiswahili ni ubohoo.
Inawezekana kweli, lakini jamani mifupa mitamu.
Samaki wa kukaanga, kuku wa kukaanga, unaweza kula hadi manyoa
Afu kama ni ng'ombe au mbuzi raha ule 'mbuguswa' au bone marrow
Labda mli-orignate from nyau.