GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Watu wa Mtaani walikubaliana Kuwauwa Wote kutokana na Kero zao za Kulia kama Binadamu na hasa nyakati za Usiku na nikawa Mtetezi wao.
Ila kwa jinsi wanavyolia sasa huku wakisogea mkabala ( jirani ) na Dirisha langu ni dhahiri shahiri kuwa hawa siyo Paka kama Paka bali ni Wanadamu Wenzangu hivyo Kesho naenda Kununua Sumu Moja Takatifu ili niwawekee na Wakafie mbali kabisa.
Tangia lini Paka akalia kama Mwanadamu, anakohoa na huku Mwenzake akicheka na kusema kama Binadamu kuwa bado hajalala?
Na hapa waninilenga Mimi niliye Macho muda huu ili nilale tu na Wanibebe wakanilimishe Viazi Vitamu Usiku Kucha huu Mashambani sehemu mbalimbali za Mkoa huu wa Dar es Salaam..