Napenda sana shift dresses

Zurie

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
2,012
Reaction score
5,571
Kama kuna fashion ambayo imeniteka ni hii ya shift dresses. Naweza kukaa hata masaa sita naangalia shift dresses online. Nadhani ni aina ya style ambayo inaweza kumpendeza mtu yeyote yule regardless of their body type. Halafu ni nguo fulani inakuweka huru katika ocassion yoyote (unless waenda kupanda mlima).

So ngoja nishare na wanafashooooon (in Deo Kithama's voice) wenzangu tuangalie how twaweza kuincorporate hii fashion kwenye style zetu binafsi.

Waweza kuvaa ufukweni na hata kwenye date



Waweza kuvaa ukaenda kwenye mizunguko yako ya hapa na pale.



Waweza kwenda nayo ofisini au kukutana na wateja wa kibiashara.




Wenye miili yao pia wanahusika, si vimodo tu.



Kwa mitoko ya sherehe mbalimbali.







Shift dress ya Kanga ni checheeeee, ya kitenge ndo hatari.



Kwa mama Vijacho ndo nguo mahsusi kabisaa....



 


Nakuona ulivyotokelezea mwenyewe...
 
Ni nzuri sana tena ikiwa muundo wa shati [emoji7]
 
Ni nzuri...ila ya kushona naona sio nzuri sana.
Special ndio zenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…