Napenda sana style ya nyimbo za Msami baby na mitindo yake ya kucheza kwenye video zake

talentboy

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
2,104
Reaction score
2,073
Habari wadau,

Leo nimeona niseme chochote kuhusiana na huyu jamaa Msami...napenda sana style ya nyimbo zake plus mitindo yake ya kudance kwenye video zake.

Jamaa ana style flani hivi ya kipekee kuanzia uimbaji hadi uchezaji...ni touches ambazo huzikuti kwa msanii mwengine ila yeye tu..ni mbunifu kiaina na akiendelea hivi na kuwa mbunifu zaidi,huku akiachia hits basi namtabiria makubwa mbeleni..only akiwa serious kwenye kile anachokifanya.

Kinachonifurahisha zaidi ni kwamba kwenye video zake nyiiingi lazima umuone Dogo yeyote ama wa Kike au Kiume anavunja zile style zake za kucheza...wale madogo huwa wanaongeza ladha kwenye video though huwa vipande vyao ni vifupi sana.

Baadhi ya ngoma zake ni hizi hapa.





 
Nadhani Abakie na jina MSAMI. Jina baby awaachie wengine
 
Usikute ndo wewe msami mwenyewe unajipromote
 
Hivi zee zima unajiita baby kweli? Pathetic
 
Napenda sana huo So Fine ft Chemical
 
Hivi msami na makomando wapi ni wakali Wa kudance ni hayo tu?
 
Msami hana styles mpya za kucheza, naona zile zile kila wimbo. Naikubali step by step tu.
 
Hata mimi huwa navutiwa na uchezaji wake kwenye video
 
Bila shaka wewe ni msami au una affiliation naye vyovyote kika la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…