Napenda sana wanaume warefu weupe

marahaa1

Member
Joined
Sep 1, 2016
Posts
68
Reaction score
98
Najikuta nachanganyiiwa nikikutana na wanaume weupe warefu
kwa baati mbaya sijawai tongozwa na wanaume hao

natongozwa na .......................... harafu sio ............................
😳😳😳😳kulia tuuuuuuu😳😳😳😳
mpo weupe humu kweli
wenye umbo kama hili,

 
Mmmmmm ila wakujua kama unapenda wenye sifa hizo wataringa
 
Ila naamin IPO Sikh Mungu ataniletea kabis ninaye muhitaji ndo man sichoki kumuomba
 
Nadhani asilimia kubwa ya wanawake wamepitia hiyo stage! Usihofu hizo fantasy za kitoto zitapotea tu baada ya mda! Wanaume weupe na warefu wanajua wanapendwa ko full maringo! Uwe mrembo kwelikweli na mweupe pia kuwapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…