Napenda sana wanaume warefu weupe

Nina wasiwasi na wewe inawezkana sio tu hujawahi kutongozwa na weupe Bali hujawahi tongozwa kabisa
 
Huyu kaja lini? maana huu moto wake balaa.Hebu mtulizeni jamani,walikuwepo wakina masai dada humu
 
Karibu sana ni mrefu mweupe utakubari kuja kuishi simiyu?
 
Mmh, we unapenda mwanaume mbaya?!...mtu kujijua ni mzuri ni kosa?...mbona na nyie mnajisifia ni wazuri...
Sio kwamba napenda mwanaume mbaya asa mwanaume unaanzaje kujisifia uzuri jaman,kwa sisi wanawake kujisifia ni kawaida but kwa men sio ishuuu ati mwanaume jisifie kua na pesa na utafutaji wa pesa sio ishu kwa man kujisifia uzuri
 
Je wewe una hizo sifa?
Mrefu,mweupe,sura Nzuri
 
Huyu kaja lini? maana huu moto wake balaa.Hebu mtulizeni jamani,walikuwepo wakina masai dada humu
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa moto wangu si wakitoto ajalibu mtu bastora zitausika
 
[emoji121]
HAWA WAMILIKI WA JF WANALIPIA 18% ZA VAT KWA HAYA MATANGAZO LAKINI??
 
Tatizo ndo hilo; Ukute weye ni mfupi ka Mpare halafu unatafuta wa kukupa mbegu bora. Hakuna bure hapaaaa
 
Unataka wanaume wenye sifa tatu: warefu - cut off point futi ngapi? Weupe - weupe kiasi gani - waafrika asilia au watu wa mabara mengine maanake avatar yako inaonesha ni mshabiki wa Asia au Latin America? Wenye six pack. Six pack kila mwanaume anayo ni suala la ku-strengthen muscles na kupunguza mafuta.

Je, hao jamaa wenye sifa ulizotoa wanatongoza wanawake wa aina gani?
 
Shyeeeh...!!! Ila we siulisema umeshapata bwana au unataka paper II?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…