Napenda uendeshaji wa IG Page ya Burna Boy

Ila twitter atakuwa ana control mwenyewe,sababu hata wakati wa xenophobia alitoa kauli kali kupitia twitter ,mpaka kufikia hatua ya kujibizana na AKA.Sizani kama aliandikiwa.
 
Jamaa anasifu ujinga then anatuaminisha uwo ujinga anaofanya uyo Burna boy ndio professional.
Acha upumbavu basi, ujinga uko wapi?
Burna Boy yeye kama yeye hahangaiki na mambo ya kuendesha mitandao ya kijamii, ana watu wake maalumu kwa ajili hiyo.
Sasa hapo ujinga uko wapi?
Acheni upumbavu, Jifunzeni kusoma na kuelewa.
 
Jifunze kusoma na kuelewa, siyo unaishia kuja kuniandikia gazeti hapa wakati haujaelewa mantiki ya komenti yangu!
 
Acha upumbavu basi, ujinga uko wapi?
Burna Boy yeye kama yeye hahangaiki na mambo ya kuendesha mitandao ya kijamii, ana watu wake maalumu kwa ajili hiyo.
Sasa hapo ujinga uko wapi?
Acheni upumbavu, Jifunzeni kusoma na kuelewa.
hapa ulikosea kutaja mond,ni mume wa watu wengi sana utaparuliwa mpama uzimie[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hapa ulikosea kutaja mond,ni mume wa watu wengi sana utaparuliwa mpama uzimie[emoji23][emoji23][emoji23]
Bahati nzuri mimi hata sijamtaja diamond mkuu, ni mabaharia wengine tu hapo juu wamemtaja diamond.
Halafu kuna ID zimesema hapo juu eti diamond amezingatia sana marketing kuliko BURN BOY,
hivi kweli kanyelamumo wa hapa ndiye kaliona swala la eti Burna Boy hana marketing?
Tatizo watu wanaleta mazoea mpaka kwenye life style za watu binafsi.
 
NA WEWEW UNAZINGUA NA UANDISHI WAKO WA KI INSTAGRAM... HAYO MA EMOJI YANA FAIDA GANI SASA. UNAANDIKA KIPASHKUNA
 
NA WEWEW UNAZINGUA NA UANDISHI WAKO WA KI INSTAGRAM... HAYO MA EMOJI YANA FAIDA GANI SASA. UNAANDIKA KIPASHKUNA
Kwahiyo emoji ziliwekwa za nini we dada?[emoji23][emoji23]
 
Yaani humu ndani asisemwe Diamond [emoji3][emoji3][emoji3], nimetaja majina mawili Harmonize na Diamond kama mfano ila mlichomind ni kumtaja Diamond. Basi mods futeni huu Uzi maana wataniua sio kwa povu hili[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mume wa watu huyo ndugu ndio ukome kumtaja siku nyengine!
 
Sio burnboy tu mpaka wizkid davido. Rema.teni.donjazzy.mr p.fally pupa . tuseme wasanii wakubwa wote tu.. vijembe na kupost kama underground niwasanii wabongo tu..
 
Sio burnboy tu mpaka wizkid davido. Rema.teni.donjazzy.mr p.fally pupa . tuseme wasanii wakubwa wote tu.. vijembe na kupost kama underground niwasanii wabongo tu..
Hata wao wakiona wasanii wetu 'wakubwa' wanavyopost nadhani wanashangaa[emoji3][emoji3], tukipiga picha na wao tunashoboka kupost mapicha kama yote, ila wao hata time hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…