ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
weeeeeeeeeeeeeee sijitaki nikasweke rupango mie hakaaaaa natafuta umaarufu wa amani hahahahahaaaTukana serikali iliyoko madarakani
HABARINI WADAU
Imetokea hivi karibu kupenda kuwa mtu maarufu sana, sijui ni njia zipi wanafanya hawa wasanii au watu maarufu na mashuhuri kuwa FAMOUS yani mwenzenu napenda sana kuwa maarufu sana
achilia mbali umaarufu wa hapa jf ambao ninao na hakuna mpinzani nae hpa
Wadau nisaidieni namna ya kuwa mtu maarufu unafanyaje ili uwe maarufu au njia zipi nifanye niwe maarufu
Wasalaam
Ladyf
huko nilishablokiwa na wenyewe wakuu niambie hapahapa mkuu ndo maana nimeandika hapa rafikiNjoo pm Nikupe maarifa ya kuwa maarufu.
umaarufu siupendi una cost sana.
niorodhosheee bestito hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaUmaarufu wa bongo mara nyingi hupatikana kwa kufanya vitu vya kijinga, upo tayari kufanya vitu vya kijinga nikuorodheshee baadhi?
khaaaaaaaaaaaa hiyo mbaya siitaki nipe njia ingine hiyo ni ya udhalilishajiJITAHIDI U MZIDI GIGGY MONEY...TOA MTANDAO PENDWA KWA KILA UNAYETEMBEA NAYE NA OMBA KIPINDI KWA ZAMA PIA USISAHAU KUTUPIA PICS ZAKO NA MAKALIO YAWE WAZI...UMEELEWA ENHEEE?
khaaaaaaaaaaaa hiyo mbaya siitaki nipe njia ingine hiyo ni ya udhalilishaji
hii imekaa vizuri ngoja niende kwa msajiri wa vyama sijui nitakiitaje chama change nipate wanachama kibaoAnzisha chama cha siasa, na uwe unatumia lugha kama za mrema