Una vision aseeeIngia YouTube anza kutengeneza video na kushare kwenye social media, kama mdada unaweza vuta watu kwa speed sana, sio lazima ufanye ujinga wa kukaa na vichupi, unaweza fanya hata review ya vitu kwa kiswahili, yaweza kua fashion products, au vitu ambavyo unavijua vizuri, kama ni mtu wa electronics hata vitu kama simu, TVs e.t.c, kwanza kwa kua unatumia kiswahili, pili kwa kua ni mdada, unaweza pendwa kwa speed sana. Ukifika video yako ya 15 utakua unafollowers kibao alafu kizuri unatengeneza pesa juu yake. Ni njia mojawapo, nyingine zinakuja.
Tembea na wanaume wote jf watakutangazaweeeeeeeeeeeeeee sijitaki nikasweke rupango mie hakaaaaa natafuta umaarufu wa amani hahahahahaaa
Aaaha Mtumishi njoo uwe secretary wangu binafsi!!HABARINI WADAU
Imetokea hivi karibu kupenda kuwa mtu maarufu sana, sijui ni njia zipi wanafanya hawa wasanii au watu maarufu na mashuhuri kuwa FAMOUS yani mwenzenu napenda sana kuwa maarufu sana
achilia mbali umaarufu wa hapa jf ambao ninao na hakuna mpinzani nae hpa
Wadau nisaidieni namna ya kuwa mtu maarufu unafanyaje ili uwe maarufu au njia zipi nifanye niwe maarufu
Wasalaam
Ladyf
Ukipenda umaarufu uzipende Na mbwembwe zakeHABARINI WADAU
Imetokea hivi karibu kupenda kuwa mtu maarufu sana, sijui ni njia zipi wanafanya hawa wasanii au watu maarufu na mashuhuri kuwa FAMOUS yani mwenzenu napenda sana kuwa maarufu sana
achilia mbali umaarufu wa hapa jf ambao ninao na hakuna mpinzani nae hpa
Wadau nisaidieni namna ya kuwa mtu maarufu unafanyaje ili uwe maarufu au njia zipi nifanye niwe maarufu
Wasalaam
Ladyf
Kama unataka umaarf kwa mda mfupi bla mafanikio n simpo, fanya hv, angalia watu wako attentive Na ktu gan kwa sasa then hapohapo Na ww unaibuka Na hoja zako. Mfano ita vyombo vya habar uanze kudis movnt ya UKUTA kwa ktumia hoja zako binafsi bla kumhusisha mtu yeyote, wana kuegemea upande wowote sambaza video mbalimbali khs hzo fikra zako.. Nnaamin haito fkisha masaa 72 Tanzania itakujadili tyu...!!! Tena itakfngulia milango maana nimeona umelipenda wazo la kuanzsha chama cha siasa..
Work hard utakuwa tu maarufu
Yess kama wewe best yanguUnataka kua maarufu kama mimi[emoji23]
mmh naona uozo unanipa ni kitu ambacho sikipendi hasiraniTembea na wanaume wote jf watakutangaza
Basi umaarufu ndio hasara yake hiyo, acha uje taratiibummh naona uozo unanipa ni kitu ambacho sikipendi hasirani
NGOJA NISUBIRI UJE TARATIBU MAANA HUO WA AINA HIYO MBAYA SANABasi umaarufu ndio hasara yake hiyo, acha uje taratiibu
NotedNGOJA NISUBIRI UJE TARATIBU MAANA HUO WA AINA HIYO MBAYA SANA
HABARINI WADAU
Imetokea hivi karibu kupenda kuwa mtu maarufu sana, sijui ni njia zipi wanafanya hawa wasanii au watu maarufu na mashuhuri kuwa FAMOUS yani mwenzenu napenda sana kuwa maarufu sana
achilia mbali umaarufu wa hapa jf ambao ninao na hakuna mpinzani nae hpa
Wadau nisaidieni namna ya kuwa mtu maarufu unafanyaje ili uwe maarufu au njia zipi nifanye niwe maarufu
Wasalaam
Ladyf
Teh tehe! Huo n mfan tyu, ila unaeza angalia ktu kngne klicho teka attention ya watu kwa mda huu then unafanya yako..!!yaani hapa pa UKUTA ndo pake pakupatia umaarufu atii
Au ulishauliwa Na kiranga nn..hahahahahahahMweeh umaarufu changamoto. Mi hata siutaki hata
Mweeh niliwe nimekua nyama?Au ulishauliwa Na kiranga nn..hahahahahahah