Napenda wa hivi

Haaaaa, nimefikaje hukuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.................
 
Wengi wanakuwa machakaramu baada ya kupata kilevi, wataonyesha utundu wao wote!

Nakumbuka kuna babu mmoja humu alisema siku ya kwanza ukiharibu basi hufatwi tena. Sa bila kujidunga unafikiri inawezakana kupiga sarakazi zitakazomfanya babu akukumbuke tena thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu lazima upashe kidogo mwe!
 
Heheheeee umenifurahisha
 
10. Si Mchoyo kwa wenzako!, Bora Ofa ya kilaji iko....
 
Acha uongo yani anafanya hadi no. 2 na 6???????HOW?

Umestukia mwana kuwa njemba imedanganya uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…