Mkuu hiyo ni interest yako binafsi, una haja gani kuileta humu? Maana kesho mwingine atakuja na hoja ya nampenda mwenye miguu ya bia, mwingine napenda mweupe, mwingine nampenda mwenye chuchu sijui zilizofanyaje! Sasa si tutakesha na hoja zisizo na tija!
Tafakari!