Napenda

kitalolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Posts
1,827
Reaction score
708
Ninapoona jinsi wakina dada zetu walivyogundua jinsi ya kutuondoa stress za ugumu wa uchumi kwa kuyabana na kuachia nje machakula yaa watoto. duh mwenzenu huwa napenda sana na nikikutana na mdada wa hivyo huwa sifichi kumwambia ukweli maana mwisho wa siku atagundua tu maana macho yangu hayatamwangalia pengine kwani nikiwa nakuangalia kufuani wewe hutajua?

wakati flani wazee walilalamika kuhusu kumomonyoka kwa maadili haswa kinadada walipoanza ile mtindo wa kuhakikisha unavaa nguo lakini nguo ya ndani laizma itokezee kwa juu, wakiitaka serekali iingie kati na baba riz alipokuwa kule mwanza akawaambia wazee wasiwe na shaka ni fasheni tu na itapita na kweli ikapita sasa iko hii najua itapita lakini kwangu ni burudani sana.
 
Kwahiyo. . .?????!
Piga picha kabisa umalize kazi usiku.
 
so tukusaidieje hapo au maana ya hii thread ni nini
 
hivi yule king mswati,wakati anapita kutafuta mchumba kwenye kundi la wanawake wanaoonyesha matiti yao na mapaja,huwa asimamishagi?????????......................................~just asking~
 
mie umenichekesha kwa kweli
'machakula ya watoto'!!!?

Nagonga LIKE
 
kumbe wewe upo kama mie...hamna kitu kizuri kama nono half exposed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…