Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ni hiyari sio lazima lakini ni muhimu sana, my friends ladies and gentlemen.
Wazo hili limenijia baada ya kuona mateso ambayo wengi tunayapitia tunapokumbwa na dhahama za maradhi mbalimbali, na kujikuta badala ya kwenda hospital kupata matibabu ya uhakika, tunajifungia majumbani na kujifariji na miti shamba kwasababu tu ya unyonge wa kipato dhidi ya gharama za matibabu.
Ndugu zangu, Mwaka mpya 2025, tufanye afya kua kipaumbele namba moja katika mipango na malengo yetu ya mwako, na sio toleo jipya la Iphones.
Usipuuze ushauri na pendekezo hili muafaka na mujarabu sana la hiyari kwa uhakika na amani ya afya yako, ili uinjoy hiyo iphone yako mpya ya mamilioni ya fedha, ukiwa na uhakika wa matibabu endapo utauguua.
Huna haja kunishukuru.
Heri ya ya Christmas na mwaka mpya 2025 in advance 🐒
Mungu Ibariki Tanzania