JAMANI wana janvi, napendekeza wajumbe wa bunge la katiba wampe kura za kutosha Captain Komba awe spika. Pia Kingunge Ngombale Mwiru awe naibu spika, Lusinde Livingstone awe Katibu wa Bunge hilo. Ni mtazamo tu, maana nawakubali sana hawa watu kwa kuwa na busara nyingi.