Napendekeza cheti cha NECTA kipatikane mtandandaoni ili kuepusha usumbufu

Napendekeza cheti cha NECTA kipatikane mtandandaoni ili kuepusha usumbufu

justhussayn

New Member
Joined
Sep 12, 2021
Posts
2
Reaction score
2
Moja ya mambo yanayosumbua ni mtu kufatilia upatikanaji wa cheti chake, either cha form four au cha form six. Sasa kuna watu wamesoma mkoa wa tofauti na makazi yao. Mfano, mtu amesoma Dar lakini ni mkazi wa Njombe. Badala ya kumpa usumbufu mtu huyo kutoka nNjombe kwenda Dar akafate cheti, heri kungekua na uwezo wa kukipata online ili kurahisisha mambo.

Maana matumizi mengi ya cheti hiko ni soft copy, hata kikiwekewa watermark ya Online Copy kama ilivyo TIN number.

Nahisi baraza la mitihani (NECTA) wanayo namna nzuri ya kuliwezesha hili.
 
Back
Top Bottom