Napendekeza eneo la Tanganyika walilopewa Zanzimbar wapewe sasa JWTZ

Napendekeza eneo la Tanganyika walilopewa Zanzimbar wapewe sasa JWTZ

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Sina maneno mengi wakuu , Nawasalimu katika yeye atupae pumzi ya kila siku, na naenda kwenye mada

Ndugu zangu ,kwa mjibu wa clip inayozunguka mitandaon toka Ikulu ya Zanzibar ni kwamba watanganyika tumepigwa na kitu kizito sana, na kwa kua inasemekana hii ardhi walipewa, lakini sasa wamejisahau na kuamua kutufokea sasa.

Yani nikupe nyumba ya kuiishi alafu badae unifokee kama vile ya kwako na wakati naweza kuichukua mda wowote ,maana nilikupa ukae kiundungu tu,

Sasa binafsi nakuja na pendekezo moja na muhimu,nalo ni

Napendekeza eneo hili kuwa au wapewe JWTZ, lote na waweke kambi kubwa ya kimkakati kwa mjibu wa mambo yaendayo na fani zao , alafu tuone chokochoko zingine zitatoka wapi ,case closed
Thanks
 
Back
Top Bottom