Napendekeza jengo jipya la Bunge kujengwa nje ya mji

Napendekeza jengo jipya la Bunge kujengwa nje ya mji

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
Inafaa kujenga jengo jipya (kubwa) la Bunge Dodoma nje ya mji huko ili kuimarisha Ulinzi na kuongea nafasi ya maktaba na maegesho ya Helikopta na misafara. Pia sehemu za kupumzika ziongezwe
 
Ukishiba sio lazima upost JF.

Embu tusiendelee kuionesha dunia ujinga tunaowaza kwa vichwa vyetu.
 
Inafaa kujenga jengo jipya (kubwa) la Bunge Dodoma nje ya mji huko ili kuimarisha Ulinzi na kuongea nafasi ya maktaba na maegesho ya Helikopta na misafara. Pia sehemu za kupumzika ziongezwe
Kwahiyo sababu yako ni maegesho ya helikopta,misafara , na sehemu ya kupumzikia alafu huoni kwamba sababu zako ni ya kijinga?
 
Hapana.
Itaongeza matumizi makubwa ya serikali bila sababu ya msingi.
Hiyo pesa ielekezwe kwenye elimu, afya, miundombinu ya usafirishaji na nishati.
 
Back
Top Bottom