Natoa pemdekezo viongozi wote wastaafu walio kuwa high level waongezewe ulinzi.
2025 ni mwaka wa uchaguzi hawa wazee wana nafasi kubwa kwenye maamuzi magumu ya uchaguzi hawatopendelea ila watatenda haki na kwa sababu hiyo wanahitaji special ulinzi ukihusisha in and outside security.
Huu mwaka sio mwaka rahisi, una mambo mengi sana, tunawahitaji wanaijua Tanzania na wanajua kule tuna naenda na sio kule tunataka enda.
Asante