Napendekeza kuanzishwa kwa bima ya makaburi

Napendekeza kuanzishwa kwa bima ya makaburi

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Hoja hii naitoa kwa ufupi mno. Ni kwamba haiwezekani mtu anaacha milioni 100 kwenye akaunti benki, majumba, magari nk; halafu ukienda kwenye kaburi lake utasema ni mzoga wa mbwa umefukiwa hapo.

Nimemaliza na sitaki maswali.
 
Hoja hii naitoa kwa ufupi mno. Ni kwamba haiwezekani mtu anaacha milioni 100 kwenye akaunti benki, majumba, magari nk; halafu ukienda kwenye kaburi lake utasema ni mzoga wa mbwa umefukiwa hapo.

Nimemaliza na sitaki maswali.
Kuepukana na hiyo kazia , maiti uichomwe moto majivu yawekwe kwenye vyungu ipandwe maua. Hata mpangaji ataweza kuhama na chungu Cha majivu ya mwana/mke /Mme wake bila Shida.
Nimemaliza sitaki maswali.
 
Kama ukiona kuna umuhimu wa kuwa na kabuli lenye Choo cha kuflash, AC, Taa kama za disco
Basi anza kujijengea kwanza ili ukifa ujizike hapo, usiwape watu shida ya kukuzika...

Jiwekee akiba ya mazishi yako na ajiri watu wa kukuzika, wape posho watakao kuja kukuzika... ili tusije kukuchoma moto Au Kukutupa uliwe na samaki Au wanyama
 
Mkuu inaonesha una hofu na kifo.

Jenga kaburi lako kabisaaa.

Mimi natamani mwili wangu wakapewa fisi wagawane ikitokea nimekufa.

Mnachohifadhi ardhini ni mzoga usio na maana yeyote.
 
Thamani ya Binadamu ni uhai,ukisha kufa ndio basi tena,hilo Kaburi lako liwe linaangaliwa mpaka lini? hizo gharama si bora ziwasaidie walio hai? unakuta Kaburi la mamilioni halafu mji huo huo kuna watu hawana hata chakula!
 
Back
Top Bottom