Napendekeza kukopa na kuombaomba ziwe sera za taifa ili tuzidi kupaa kuliko hata Marekani

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Kuna malalamiko juu ya ufumkaji wa deni la taifa ambalo kimsingi si la taifa bali la CCM. Napendekeza tutangaze kukopa na kubomu kuwa sera za taifa kwa sababu tunakopesheka na tunatumia tunavyotaka. Hata hivyo, tukumbuke. Kukopa harusi na kulipa matanga. Najisemea tu.
 
Tayari kiuchumi Tanzania tupo juu zaidi ya Marekani na Ulaya humkumsikia Rais Samia?
 
 
Hiv na ulaya maombaomba kama wagogo wapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…