Napendekeza ligi yetu iitwe SOKALIGI.

Napendekeza ligi yetu iitwe SOKALIGI.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Muda mrefu nimekuwa najiuliza futiboli yetu haiweji kupata utambulisho wake kama La Liga, Seria A, Bungesliga n.k.?
Nimepata wazo hili na napendekeza jina la ligi yetu ya futiboli liwe "Sokaligi", ili kuepuka kubadilibadili majina kama Vodacom PL au NBC PL.
Naomba kuwasilisha.
 
Haina shida brother weka mpunga wa udhamini tu, hayo majina unayosena yanabadilika yanabadilishwa na fedha sio tu wanajiamulia. Hata uingereza ligi ilikuwa inaitwa Barclays PL sababu hiyo bank waliweka pesa. Imeachwa kuitwa hivyo baada ta udhamin kuisha..

Ikiwa vilabu tu wanatoa haki ya viwanja vyao kuitwa majina ya wadhamin sembuse ligi
 
Muda mrefu nimekuwa najiuliza futiboli yetu haiweji kupata utambulisho wake kama La Liga, Seria A, Bungesliga n.k.?
Nimepata wazo hili na napendekeza jina la ligi yetu ya futiboli liwe "Sokaligi", ili kuepuka kubadilibadili majina kama Vodacom PL au NBC PL.
Naomba kuwasilisha.
Ila hii Manchester United ya mwaka huu sijui kama itapona kushuka daraja. Mechi 5 imedondosha point 8 na bado hajakutana na wale top 5 kila mwaka. Kimahesabu imeshashuka daraja (5X3)x2=30(Home and Away)+8(zilizokwisha dondoka)=38. Lengo la hizi hesabu ni kuwatahadharisha mashabiki wote wa Man U mjiandae kisaikolojia
 
😆😆 mkuu topic ni sokaligi
 
Muda mrefu nimekuwa najiuliza futiboli yetu haiweji kupata utambulisho wake kama La Liga, Seria A, Bungesliga n.k.?
Nimepata wazo hili na napendekeza jina la ligi yetu ya futiboli liwe "Sokaligi", ili kuepuka kubadilibadili majina kama Vodacom PL au NBC PL.
Naomba kuwasilisha.
Bado kuna uzungu ndani yake, tuiite "shamba la bibi" pasipo kuweka neno ligi.
 
Screenshot_2024-09-25-09-09-17-65.jpg
 
Sokaligi lina sound kiingereza zaidi...
Iitwe KANDANDA LIGI ....itakuwa unique sana
 
hujaliona hilo premier league au unatakaje Na kuhusu kuitwa NBC premier league ni kwasababu ya udhamini
 
Back
Top Bottom