Muda mrefu nimekuwa najiuliza futiboli yetu haiweji kupata utambulisho wake kama La Liga, Seria A, Bungesliga n.k.?
Nimepata wazo hili na napendekeza jina la ligi yetu ya futiboli liwe "Sokaligi", ili kuepuka kubadilibadili majina kama Vodacom PL au NBC PL.
Naomba kuwasilisha.
Ila hii Manchester United ya mwaka huu sijui kama itapona kushuka daraja. Mechi 5 imedondosha point 8 na bado hajakutana na wale top 5 kila mwaka. Kimahesabu imeshashuka daraja (5X3)x2=30(Home and Away)+8(zilizokwisha dondoka)=38. Lengo la hizi hesabu ni kuwatahadharisha mashabiki wote wa Man U mjiandae kisaikolojiaMuda mrefu nimekuwa najiuliza futiboli yetu haiweji kupata utambulisho wake kama La Liga, Seria A, Bungesliga n.k.?
Nimepata wazo hili na napendekeza jina la ligi yetu ya futiboli liwe "Sokaligi", ili kuepuka kubadilibadili majina kama Vodacom PL au NBC PL.
Naomba kuwasilisha.
😆😆 mkuu topic ni sokaligiIla hii Manchester United ya mwaka huu sijui kama itapona kushuka daraja. Mechi 5 imedondosha point 8 na bado hajakutana na wale top 5 kila mwaka. Kimahesabu imeshashuka daraja (5X3)x2=30(Home and Away)+8(zilizokwisha dondoka)=38. Lengo la hizi hesabu ni kuwatahadharisha mashabiki wote wa Man U mjiandae kisaikolojia
Bado kuna uzungu ndani yake, tuiite "shamba la bibi" pasipo kuweka neno ligi.Muda mrefu nimekuwa najiuliza futiboli yetu haiweji kupata utambulisho wake kama La Liga, Seria A, Bungesliga n.k.?
Nimepata wazo hili na napendekeza jina la ligi yetu ya futiboli liwe "Sokaligi", ili kuepuka kubadilibadili majina kama Vodacom PL au NBC PL.
Naomba kuwasilisha.
Hakuna shida jina la mdhamini litakuwepo "NBC Soka ligi" au "NBC Shamba la bibi", hata England ligi yao inaitwa "English Premier League" lkn mdhamini mkuu Barclays yupo na anaonekana.Mapendekezo mazuri ila lengo la wadhamini ni kuuza brand yao zaidi mfano NBC
Hapo sawa na hilo jina la NBC SOKA LIGI limekaa poa sana.Hakuna shida jina la mdhamini litakuwepo "NBC Soka ligi" au "NBC Shamba la bibi", hata England ligi yao inaitwa "English Premier League" lkn mdhamini mkuu Barclays yupo na anaonekana.
Unayajua makubaliano Yao? Nisawa na yetu?Hakuna shida jina la mdhamini litakuwepo "NBC Soka ligi" au "NBC Shamba la bibi", hata England ligi yao inaitwa "English Premier League" lkn mdhamini mkuu Barclays yupo na anaonekana.
SOKALIGI imekaa poa kumbuka lugha ina tabia ya kuazima maneno kutoka lugha nyingineBado kuna uzungu ndani yake, tuiite "shamba la bibi" pasipo kuweka neno ligi.