Hapa umewaza mkuuMuda mrefu nimekuwa najiuliza futiboli yetu haiweji kupata utambulisho wake kama La Liga, Seria A, Bungesliga n.k.?
Nimepata wazo hili na napendekeza jina la ligi yetu ya futiboli liwe "Sokaligi", ili kuepuka kubadilibadili majina kama Vodacom PL au NBC PL.
Naomba kuwasilisha.
Acha kututisha basi,mpirahauko hivyo,npira uwanjani sio kwenye makaratasiIla hii Manchester United ya mwaka huu sijui kama itapona kushuka daraja. Mechi 5 imedondosha point 8 na bado hajakutana na wale top 5 kila mwaka. Kimahesabu imeshashuka daraja (5X3)x2=30(Home and Away)+8(zilizokwisha dondoka)=38. Lengo la hizi hesabu ni kuwatahadharisha mashabiki wote wa Man U mjiandae kisaikolojia
Sio kwamba Premier league tumekopi UK? Maana ufaransa, ujerumani, uhispania nk sioni neno premierhujaliona hilo premier league au unatakaje Na kuhusu kuitwa NBC premier league ni kwasababu ya udhamini
Naunga mkono hoja.Muda mrefu nimekuwa najiuliza futiboli yetu haiweji kupata utambulisho wake kama La Liga, Seria A, Bungesliga n.k.?
Nimepata wazo hili na napendekeza jina la ligi yetu ya futiboli liwe "Sokaligi", ili kuepuka kubadilibadili majina kama Vodacom PL au NBC PL.
Naomba kuwasilisha.