CCM yote imeoza ifutwe.Hakuna sababu hata moja ya kuvumilia wanachama wa CCM hususani wabunge wasio na adabu kwa mamlaka za nchi, na kuendelea kuachwa tu akidunda kama mwana ccm, hali ya kua amezua taharuki na kashfa nzito za uzushi dhidi ya viongozi wetu wa kitaifa.
Hili halikubaliki hata kidogo,
Napendekeza mbunge husika wa ccm achukuliwe hatua za kinidhamu haraka, ikiwa ni pamoja na kufutwa uanachama wa CCM na tawi lake la ccm.
Mungu Ibariki Tanzania
Wewe niite porojo tuu, simbachawene alisema police acheni kukamata watu hovyo leo yuko wapi ππ, time for plan Bzingatia hoja bila kuweka porojo gentleman
Hakuna sababu hata moja ya kuvumilia wanachama wa CCM hususani wabunge wasio na adabu kwa mamlaka za nchi, na kuendelea kuachwa tu akidunda kama mwana ccm, hali ya kua amezua taharuki na kashfa nzito za uzushi dhidi ya viongozi wetu wa kitaifa.
Hili halikubaliki hata kidogo,
Napendekeza mbunge husika wa ccm achukuliwe hatua za kinidhamu haraka, ikiwa ni pamoja na kufutwa uanachama wa CCM na tawi lake la ccm.
Mungu Ibariki Tanzania