Napendekeza mechi ya kirafiki ya mpira wa miguu baina ya Kamati Kuu ya CCM dhidi ya Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa kabla ya Uchaguzi Mkuu ujao 2025

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Mchezo huu muhimu baina ya viongozi waandamizi wa vyama vya siasa nilivyo pendekeza kwa kuanzia, uchezwe uwanja wa Benjamin Mkapa mchana, na kiingilio kiwe ni bure kabisaa ...

Na kwakua itakuwa kama Bonanza la Kidemokrasia Nchini (BKN) na ufunguzi wa mwaka wa uchaguzi mkuu, mchezo wa CCM na CHADEMA, utanguliwe na michezo mbalimbali kama vile riadha, volleyball, basketball, football n.k baina ya vyama vya siasa vitakavyoshiriki.

Na utaratibu huu ufanyike kama ufunguzi wa mwaka wa uchaguzi, lakini pia kama tutafanikiwa kuanzisha mchakato wa katiba mpya basi ipigwe mechi kama hiyo ya kuzindua mchakato, na baada ya kupata katiba mpya pia, ipigwe mechi nyingine ya vyama vya siasa na makundi maalumu na taasisi nyingine mbalimbali kuzindua katiba mpya...

TCD, chukueni wazo hili dogo, mkalitathmini sawa sawa, kuliboresha na kuliratibu vizuri kadiri mtakavyoona inafaa.

Ni dogo lakini,
maana na umuhimu wake ni mkubwa sana kwa ustawi wa demokrasia yetu, udugu, umoja na amani ya kudumu miongoni mwa waTanzania wa itikadi tofauti tofauti za vyama vya siasa 🐒

Au mnaonaje ndugu zangu,
Si kuna haja ya kwenda kushuhudia burudani ya Lema na Makala wakisakata kabumbumbu na kumenyana vilivyo pale kwa Mkapa 🐒
 
mchezo huu muhimu baina ya viongozi waandamizi wa vyama vya siasa nilivyo pendekeza kwa kuanzia, uchezwe uwanja wa Benjamin Mkapa mchana, na kiingilio kiwe ni bure kabisaa ...

na kwakua itakua kama Bonanza la Kidemokrasia Nchini (BKN) na ufunguzi wa mwaka wa uchaguzi mkuu, mchezo wa CCM na Chadema, utanguliwe na michezo mbalimbali kama vile riadha, volleyball, basketball, football n.k baina ya vyama vya siasa vitakavyoshiriki.

au mnaonaje ndugu zangu,
si kuna haja ya kwenda kushuhudia burudani ya Lema na Makala wakisakata kabumbumbu na kumenyana vilivyo pale kwa Mkapa 🐒
Cdm wacheze na majizi ya kura, au unadhani hiyo ndio itapandisha hamasa ya watu kushiriki kwenye chaguzi za kishenzi?
 
Hao chadema woote watakao jipendekeza watawekewa sumu machoni ama puani wafe wooote. Ngoja nimtafute Mzee PILIPO MANGALU kwanza tutete jambo kwanza.
 
Chadema haitaweza kushiriki mechi ya kishirikina
msemaji wa chairman, haya sio masuala ya uchawi na ushirikina,

hii ni mechi ya mpira wa miguu ya kirafiki 🐒

hayo ya ushirikina na uchawi mfanye huko huko kibinafsi kwenye chama chenu 🐒
 
Cdm wacheze na majizi ya kura, au unadhani hiyo ndio itapandisha hamasa ya watu kushiriki kwenye chaguzi za kishenzi?
gentleman,
hapatakua na uchaguzi taifa 🤣

ni mechi ya mpira wa miguu kuimarisha udugu na demokrasia tu 🐒
 
Mchezo huu muhimu baina ya viongozi waandamizi wa vyama vya siasa nilivyo pendekeza kwa kuanzia, uchezwe uwanja wa Benjamin Mkapa mchana, na kiingilio kiwe ni bure kabisaa ...

Na kwakua itakuwa kama Bonanza la Kidemokrasia Nchini (BKN) na ufunguzi wa mwaka wa uchaguzi mkuu, mchezo wa CCM na CHADEMA, utanguliwe na michezo mbalimbali kama vile riadha, volleyball, basketball, football n.k baina ya vyama vya siasa vitakavyoshiriki.

TCD, chukueni wazo hili dogo, mkalitathmini sawa sawa, kuliboresha na kuliratibu vizuri kadiri mtakavyoona inafaa.

Ni dogo lakini,
maana na umuhimu wake ni mkubwa sana kwa ustawi wa demokrasia yetu, udugu, umoja na amani ya kudumu miongoni mwa waTanzania wa itikadi tofauti tofauti za vyama vya siasa 🐒

Au mnaonaje ndugu zangu,
Si kuna haja ya kwenda kushuhudia burudani ya Lema na Makala wakisakata kabumbumbu na kumenyana vilivyo pale kwa Mkapa 🐒
Haya, umefikiria sana 😂😂😂
 
Haya, umefikiria sana 😂😂😂
ni dogo, lakini kubwa, la maana, na muhimu mno kwa ustawi wa demokrasia ya Taifa letu na hasa ukizingatia 4Rs za Dr Samia Suluhu Hassan tunazoziishi sasa, nadhani ni wakati muafaka tukaenda zaidi ya hapo 🐒
 
Back
Top Bottom