Napendekeza Ubungo iwe makao makuu ya nchiNapendekeza mkoa wa Ufipa na Lumumba kuenzi vyama muhimu katika nchi hii
Why meatu??Naunga mkono hoja.
Mkoa mpya uitwa MWITONGO na uundwe na wilaya sa Serengeti, Bunda, Butiama,musoma vijijini, na Meatu.
Tumuenzi muasisi wa nchi yetu kwa kuwasogezea huduma wananchi.
Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app