FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Mkuu,ungetufafanulia hiyo QR Code ni nini? Sababu nimeangalia kwenye madaftari yangu ya tuisheni kwa Ras Layon sijaipata maana yake.Je, nini yatakuwa manufaa / hasara za kuweka QR code kwenye noti za BOT?
Tujadili kwanza faida na hasara, halafu tutajua
Ili kujua faida ndio swali la mleta swali ili iweje ?!!!! (yaani unasolve tatizo lipi)?Tujadili kwanza faida na hasara, halafu tutajua
Sawa, tuendelee kujadili faida na hasara zake, tutafika tu. Maana TRA tayari wanatumia QR codesIli kujua faida ndio swali la mleta swali ili iweje ?!!!! (yaani unasolve tatizo lipi)?
Sababu kama kuna QR Code au Uwezekano wa kuiweka na devices za kusoma zipo za kutosha kwanini uwe na hata hio noti ?!!!!
Unless unsema itapunguza noti feki ila si kuna mashine za kuhesabu pesa tayari zinazodetect fakes ?
In short umeleta solution ya kurahisisha mambo bila kuondoa ule ugumu wa hapo mwanzo (why have paper notes at all in this b-chain digital world)?!!!
QR ni Master PassMkuu,ungetufafanulia hiyo QR Code ni nini?Sababu nimeangalia kwenye madaftari yangu ya tuisheni kwa Ras Layon sijaipata maana yake.
Kumbe TRA walitutia hasara tu kuweka QR codes kwenye mashine za receiptQrcode ni parten ambazo zinaweza kusomwa na na kutafsiriwa na computer au kifaa cha kielectronic.
Hakuna faida yoyote kwani hata wanaotengeneza fake wataweka pia.
Bado unanichanganya muhishimiwa.Ungeandika maana yake na maelezo kwa kiswahili.QR ni Master Pass
We jamaa ni moja ya mizigo ya taifa. Yaani wewe unaandika kichwa cha habari halafu unataka sisi ndio tujadili bila wewe kuanza kufafanua umemaanisha nn?. Acha uboya sio kila ukiwa na bando unaingia jf na kuandika utumboSawa, tuendelee kujadili faida na hasara zake, tutafika tu. Maana TRA tayari wanatumia QR codes
Ili uweze kusoma hio information kwahio ni kupass information from point A to B sasa kwenye hio Tshs. Elfu kumi ni information ipi unataka isomwe ambayo haipo at the time being ?Kumbe TRA walitutia hasara tu kuweka QR codes kwenye mashine za receipt
When you use the self-checkout counter at a supermarket, you scan the barcodes of your purchases. The barcode contains data about the item it’s attached to, so the electronic cashier immediately knows you’re buying a bag of Kettle salt & fresh ground pepper potato chips the moment you scan it.Bado unanichanganya muhishimiwa.Ungeandika maana yake na maelezo kwa kiswahili.
Tuendelee kujadili, tutafika tu....Ili uweze kusoma hio information kwahio ni kupass information from point A to B sasa kwenye hio Tshs. Elfu kumi ni information ipi unataka isomwe ambayo haipo at the time being ?
Moja counterfeit money hauuhitaji mpaka wale wachapishaji hata watu kitaa wanafanya, pili hivi ulishajiuliza kwanini dollar ndio ina fakes nyingi na tshs 500 haina fakes (Ni kwamba sometimes cost ya kugushi ni kubwa kuliko kile unachogushi) sasa hao jamaa wakose their future business kwa kujiharibia jina sababu ya kuhangaika na hizi pesa za madafu ?!!!Tuendelee kujadili, tutafika tu....
Je, nchi kuchapisha pesa zake nje ya nchi ni sahihi?
Nina wasiwasi hawa tunaowapa kazi ya kuchapisha pesa zetu wanachapisha na makontena ya ziada na kuyaingiza kwenye mzunguko kimya kimya. Should i be concerned?www.jamiiforums.com
Kwa nini mkuu?Ujuaji ukizidi mtu huwa mjinga
Tuendelee kujadili, tutafika tu...Moja counterfeit money hauuhitaji mpaka wale wachapishaji hata watu kitaa wanafanya, pili hivi ulishajiuliza kwanini dollar ndio ina fakes nyingi na tshs 500 haina fakes (Ni kwamba sometimes cost ya kugushi ni kubwa kuliko kile unachogushi) sasa hao jamaa wakose their future business kwa kujiharibia jina sababu ya kuhangaika na hizi pesa za madafu ?!!!
Kutengeneza hizi fake waachie tu walalahoi huko sehemu sehemu ndani ndani na printing machines sio these multi billion industries...
By the way njia sio kuhangaika na kuiweka kwenye elfu kumi; njia ni kuondoka na cash na kwenda digital Jambo ambalo wabongo tulikuwa tunakuwenda vizuri sana kabla ya Serikali kuja na MATOZO yao...
SIDHANI MAANA UNAPOSCAN INASOMA KWENYE SERVER ZAO NI NGUMU FAKER KUWA NA DATABASE YA KUHAKIKI USAHIHI WA RISITIKumbe TRA walitutia hasara tu kuweka QR codes kwenye mashine za receipt