Napendekeza noti ya elfu kumi iwekewe QR code

SIDHANI MAANA UNAPOSCAN INASOMA KWENYE SERVER ZAO NI NGUMU FAKER KUWA NA DATABASE YA KUHAKIKI USAHIHI WA RISITI
Ila fakers wa noti ni rahisi kuwa na database ya uhakiki wa noti, sivyo?
 
Idea hii ni nzuri, lakini nadhan challenge itakuwa kwamba unlike risiti za TRA. Bank notes haziwezi kuwa na extra info to make it easy to differentiate fake from original. Plus, hata BOT wakiexpose APIs kwa ajili ya kuprovide info ili to verify hizo notes, guys who make fakes watatumia same info kwenye notes zao and then bado unarudi pale pale.
 
Nimeikuta hiyo mahali
 
Hii itasaidia kwenye wizi...ukiwa na hela zako umestore qr codes ukaibiwa, unatoa taarifa polisi halafu wanafuatilia pale itakapotumika tu wanadetect na kuanzia hapo uchunguzi
 
Hii itasaidia kwenye wizi...ukiwa na hela zako umestore qr codes ukaibiwa, unatoa taarifa polisi halafu wanafuatilia pale itakapotumika tu wanadetect na kuanzia hapo uchunguzi
Safi sana, tuendelee kujadili, tutafika tu....

Hii itasaidia kwenye wizi...ukiwa na hela zako umestore qr codes ukaibiwa, unatoa taarifa polisi halafu wanafuatilia pale itakapotumika tu wanadetect na kuanzia hapo uchunguzi
Pesa zako ?!!!! Kwamba hizi ni kama Gold unaziweka for long term ?

Ukishakuwa na uwezo wa storage na majority wanao uwezo huo why have cash at all ?

The technology for cashless is available na muitikio ulishakuwepo hadi vijijini (Mpesa et al) Mpaka serikali ilipotia Tembo Maji wakati hata mgema hajasifiwa
 
I'm for Cashless...lakini vipi makato? Maana cash haina makato. Nikienda kununua nyanya na cash yangu hakuna transaction fee.
Now bear in mind, wakiweka system ya cashless bila makato basi ujue watakuwa wanaua bank sytems and hizi mpesa et al.
Ambazo ni major source of gvt tax.

Na ukisema waweke system yenye fees....What would be the difference btn that and what we already have with Mpesa?
 
I'm for Cashless...lakini vipi makato? Maana cash haina makato. Nikienda kununua nyanya na cash yangu hakuna transaction fee.
Cashless ni cheaper in the long run kwa merchant na government..., hivi haujaona kuna sehemu hawa-accept cash ? au haujaona sehemu kuna incentives kwamba ukitumia cashless basi gharama inakuwa cheaper

Transaction fee inakuja sababu ya middle men wengi, Bank lazima wawepo, kuna payment gateways ambao wameingia mikataba na processors tofauti n.k., hence ni rahisi kupunguza hao middle men hence cutting cost na saving ya gharama ya currency una-ihamishia huku kwenye processing costs
Now bear in mind, wakiweka system ya cashless bila makato basi ujue watakuwa wanaua bank sytems and hizi mpesa et al.
Nope hao hao ndio watakuwa players unaweza usikatwe wakati wa kununua lakini utakatwa wakati wa kujaza (kwani sasa hivi hizo cash unazitoa chini ya godoro (fikiria kidogo hizo elfu kumi ulizonazo hapo umezipata vipi) kama hakuna transaction fees zozote....
Ambazo ni major source of gvt tax.
Kwamba government Tax wameshindwa kufikiri source nyingine (hao wabunge waende huko wakalime mahindi watulishe tuwalipe as hakuna wanachofanya cha maana mambo ya barabara tutalipia kwa kutumia levy kwa watuamiaji
Na ukisema waweke system yenye fees....What would be the difference btn that and what we already have with Mpesa?
Mpesa was already doing it hio ndio cashless yenyewe na nyongeza charges ilikuwa minor kwa mlipaji ingawa wadau mitaani wana-abuse the system
 
Nimeikuta hiyo mahali
Hii iko vizuri. Hii inamake sense. So that’s definitely not your average qr code(basically an enhancement with a hash code) but also you don’t scan it straight from your camera and use your browser to open whatever link is hidden there. Using a proprietary app provides more control and hiding of more info. This could actually work and it doesn’t TRA receipts at all
 
Anyways good thinking😀japo inaonekana ulikuwa familiar na unachokiongea. Japo watu wengi wamekupinga na kukushambulia. Inashangaza mtu hataki hata kuwaza the possibility of this happening
 
Anyways good thinking😀japo inaonekana ulikuwa familiar na unachokiongea. Japo watu wengi wamekupinga na kukushambulia. Inashangaza mtu hataki hata kuwaza the possibility of this happening
Tuendeleeni kujadili, tutafika tu..
 
Hii hii elfu kumi ambayo ukila lunch ukiongeza soda haitoshi? Labda waje na noti ya elfu 50.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…