FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Wewe unapowaza USB, wenzako tayali tunatumia App remote!Nashauri ianzishwe sheria ya kushurutisha waagizaji wa TV na ving’amuzi, kwamba wakiagiza hivyo vifaa, basi remote zake ziwe zina ‘battery’ zenye uwezo wa kuchajishwa kwa ‘USB charger’ kama ilivyo kwa simu na baadhi ya tochi (lamps) za kichina.
Hii itaondoa usumbufu na hasara ya kubadili battery mara kwa mara ambapo hata hivyo nyingi ni feki kama zile za tiger, feki tupu! Kuna vitu vinakera sana, kuna remote hapo nimeweka battery hata mwezi bado, eti zimeshakufa, si ujinga huu?’
Nunua betri alkalineNashauri ianzishwe sheria ya kushurutisha waagizaji wa TV na ving’amuzi, kwamba wakiagiza hivyo vifaa, basi remote zake ziwe zina ‘battery’ zenye uwezo wa kuchajishwa kwa ‘USB charger’ kama ilivyo kwa simu na baadhi ya tochi (lamps) za kichina.
Hii itaondoa usumbufu na hasara ya kubadili battery mara kwa mara ambapo hata hivyo nyingi ni feki kama zile za tiger, feki tupu! Kuna vitu vinakera sana, kuna remote hapo nimeweka battery hata mwezi bado, eti zimeshakufa, si ujinga huu?’
Boss achana na bei ya betry pia uwa zina leakage zikiachwa muda mrefu kwenye remote na kusababisha remote kupata kutuBetri ya mia mbili unataka ikae mwezi mda wote huo na sisi wenye viwanda tutakula nini
Tafuta Battery original, mwaka wa pili sijabadilisha battery za remote zanguNashauri ianzishwe sheria ya kushurutisha waagizaji wa TV na ving’amuzi, kwamba wakiagiza hivyo vifaa, basi remote zake ziwe zina ‘battery’ zenye uwezo wa kuchajishwa kwa ‘USB charger’ kama ilivyo kwa simu na baadhi ya tochi (lamps) za kichina.
Hii itaondoa usumbufu na hasara ya kubadili battery mara kwa mara ambapo hata hivyo nyingi ni feki kama zile za tiger, feki tupu! Kuna vitu vinakera sana, kuna remote hapo nimeweka battery hata mwezi bado, eti zimeshakufa, si ujinga huu?’
Ndio betri za bei rahisi hizo zimefungwa fungwa na karatasi na nailoni unategemea zitaacha kuwa na leakageBoss achana na bei ya betry pia uwa zina leakage zikiachwa muda mrefu kwenye remote na kusababisha remote kupata kutu
Haitokuja kutokea ,waliwahi kuwepo watu wenye wazo Kama hili lakini ikaonekana remote inahitaji umeme mdogo Sana hivo hakuna haja ya kufanya ichargiweNashauri ianzishwe sheria ya kushurutisha waagizaji wa TV na ving’amuzi, kwamba wakiagiza hivyo vifaa, basi remote zake ziwe zina ‘battery’ zenye uwezo wa kuchajishwa kwa ‘USB charger’ kama ilivyo kwa simu na baadhi ya tochi (lamps) za kichina.
Hii itaondoa usumbufu na hasara ya kubadili battery mara kwa mara ambapo hata hivyo nyingi ni feki kama zile za tiger, feki tupu! Kuna vitu vinakera sana, kuna remote hapo nimeweka battery hata mwezi bado, eti zimeshakufa, si ujinga huu?’
Nani kasema itakuwa huwezi kuitoa?Betri za kawaida za AAA zimetengenezwa kudumu kati ya miezi 3 hadi 6 na kuna zingine zinakaa hadi mwaka. Rimoti ikitumia betri ya kuchaji kama ya simu manaake inabidi uwe unaichaji kila wakati ili ifanye kazi sawasawa kwasababu inaisha kwa haraka zaidi. So far kuna rimoti za Siri zimetengenezwa kwa mtindo huu.
Kwa mantiki hiyo, ni suala la gharama. Kampuni za kutengeneza rimoti itabidi zigharimike zaidi kutengeneza rimoti ambazo zina 'non-removable rechargable batteries' ambazo hata hivyo huwa zinaisha kwa haraka hata kama kifaa hakitumiki. Kwa mtumiaji itamgharimu zaidi ukilinganisha na betri zisizo za kuchaji, na vyenye tulivyo wazembe wa kutunza USB cables... imagine unataka kuangalia TV mara rimoti imeisha chaji na chaja yake huioni (imepotea). Au imagine umenunua rimoti ambayo ina betri la kuchaji ila huwezi kulitoa, halafu kila baada ya masaa matatu imeisha chaji!
Well, unaweza kuitoa - lakini sidhani kama mtu asie na ujuzi wa electroniki anaweza akaitoa "Non-removable battery" kama zilizomo kwenye simu janja nyingi za sasa.Nani kasema itakuwa huwezi kuitoa?
Nani kasema itakuwa ‘non-removable battery’Well, unaweza kuitoa - lakini sidhani kama mtu asie na ujuzi wa electroniki anaweza akaitoa "Non-removable battery" kama zilizomo kwenye simu janja nyingi za sasa.
Kwenye hoja yako umetoa mifano ya simu na tochi za Kichina; watengenezaji wa hivyo vifaa hivi sasa wanahama kutoka removable kwenda non removable batteries. Hakuna namna utakwepa hilo vinginevyo uweke special order.Nani kasema itakuwa ‘non-removable battery’
Simu zote ukiacha Iphone, battery ni removableKwenye hoja yako umetoa mifano ya simu na tochi za Kichina; watengenezaji wa hivyo vifaa hivi sasa wanahama kutoka removable kwenda non removable batteries. Hakuna namna utakwepa hilo vinginevyo uweke special order.
Sio kweli.Simu zote ukiacha Iphone, battery ni removable