Napendekeza rushwa ziongezeke zaidi

Sema abakwe yeye mwenyewe halafu mtu wake aachiwe kwa rushwa. Atajua ajui
Jambo baya ni kufa tu, kubakwa sio issue, maana na wewe unawaua waliokubaka then unatoa rushwa unaachiwa, inakuwa alie liwa kaua, ngoma droo iyoo
 
Rushwa Ni mfumo wa maisha ambao kama umekua nao kamwe hauwezi kuelewa madhara yake.

Kila jamii zinarushwa Ila viwango vinatofautiana. Nimejionea Jamii zenye kiwango kidogo Kabisa Cha Rushwa na nilitamani kuzaliwa hapo kabla ya kuzaliwa.
 
Utaunga mkono hoja kama ni mnufaika wa rushwa.
Kuna ndugu yangu kadhulumiwa nyumba ya urithi kwa sababu ya rushwa.
Jamaa alikuwa mpangaji wa muda mrefu, baada ya mwenye nyumba kufariki kajimilikisha anadai alinunua.
 
LATRA wanakula rushwa kwenye vibali balaa, yaani kuna traffic pale anachukua hela ovyo ovyo ila ingekuwa Dkt Magufuli yupo asingethubutu. Ila Mama hivi kwa nini wanamdharau hivi????
 
Utaunga mkono hoja kama ni mnufaika wa rushwa.
Kuna ndugu yangu kadhulumiwa nyumba ya urithi kwa sababu ya rushwa.
Jamaa alikuwa mpangaji wa muda mrefu, baada ya mwenye nyumba kufariki kujimilikisha anadai alinunua.
Mtu kama huyo unamloga
 
Mwenye kitengo cha kupendekeza ni mimi tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Rushwa imeangamiza wengi wasio na hatia...Mtu anamtaka mkeo... anaenda kutoa rushwa then unabambikwa likesi zitoo unatiwa ndani halafu jamaa anajilia mzigo taratiiibu huku wewe ukiozea jela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…