Napendekeza,timu inyang'anywe pointi 3 kila ikifanya mambo ya kushirikina na yakajulikana

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,333
Reaction score
5,845
Natamani mchezo wa soka uwe wa vipaji,uwezo na jitihada za mchezaji kama ilivyo kwa nchi za ulaya.

Kuwe na adhabu kali kwa timu itakayodhihirika wazi kuwa inatumia ndumba ama imani za kishirikina kama vile;

1. Kuchimbia vitu vya hovyo uwanjani
2 . Kumwaga unga au maji kwa njia inayoonekana kama kuwanga.
3. Kuruka geti ama kupita geti ambao halijapangwa kwa kazi hiyo.
4. Wachezaji kushuka kwenye gari mje ya uwanja na kutafuta njia za kuingilia uwanjani tofauti na kuingia kwa basi lao
5. Kulinda kiwanja kwa kutumia makomandoi( wahuni ama wachawi)
6. Kitu kinvibe chichote kinachoahiria ushirika

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Hapo yanga itashuka daraja
 
Tuanze na Simba na vizee na mbuzi.
 
Mbona ujaweka kuchoma viwanja vya watu moto kwa amri ya waganga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…