Napendekeza Timu ya taifa iundwe kwa uwakilishi wa mikoa

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Ukiangalia timu ya taifa ambayo haijawahi kuleta matunda yoyote kwa taifa hili inaundwa na Mkoa wa dar es salaam kwa zaidi ya 80%

Pendekezo langu timu ya taifa uindwe kwa uwakilishi wa kimikoa au kanda ili kuleta taswira nzuri ya taifa na kupata vipaji nje ya dar ea salaam.

Hii ni kuanzia timu za vijana hadi taifa stars.

Mfano kanda ya pwani itoe wachezaji 4 kaskazini kwa kina masawe nako 4, kanda ya ziwa kwa kina ngosha 4 na njanda za juu kusini kwa kina mwantika nako 4.. na wanao baki ni kanda ya kati na kusini.

Nadhani hata ukisikia kikosi cha timu ya taifa utaona fahari.

Naamini TFF watazingatia hili.

Kwa niaba ya chama cha walalamikaji Tanzania (CCWT)
 
Hilo jambo ni gumu,maana kila sehemu kuna vipaji vya mchezo fulani.

Kwa style unayotaka Chato watatoka wengi sana wachezaji
 
Kilimanjaro na Arusha ni watu wachache sana wana muda wa kukimbia kimbia viwanjani badala ya kusoma na kujifunza biashara na stadi mbali mbali. Sasa wameshakubali muwawakilishe
 
Taifa cup ndiyo ulikuwa mfumo mzuri wa kupata vipaji kwa nchi nzima, lakini Watanza wenye Nia wapi Dar hivyo usitegemee kumuona muha kuitwa timu ya taifa mpaka aje Dar vinginevyo mpaka aje kwa shangazi
Ukiangalia timu ya taifa ambayo haijawahi kuleta matunda yoyote kwa taifa hili inaundwa na Mkoa wa dar es salaam kwa zaidi ya 80%

Pendekezo langu timu ya taifa uindwe kwa uwakilishi wa kimikoa au kanda ili kuleta taswira nzuri ya taifa na kupata vipaji nje ya dar ea salaam.

Hii ni kuanzia timu za vijana hadi taifa stars.

Mfano kanda ya pwani itoe wachezaji 4 kaskazini kwa kina masawe nako 4, kanda ya ziwa kwa kina ngosha 4 na njanda za juu kusini kwa kina mwantika nako 4.. na wanao baki ni kanda ya kati na kusini.

Nadhani hata ukisikia kikosi cha timu ya taifa utaona fahari.

Naamini TFF watazingatia hili.

Kwa niaba ya chama cha walalamikaji Tanzania (CCWT)
 
Taifa cup ndiyo ulikuwa mfumo mzuri wa kupata vipaji kwa nchi nzima, lakini Watanza wenye Nia wapi Dar hivyo usitegemee kumuona muha kuitwa timu ya taifa mpaka aje Dar vinginevyo mpaka aje kwa shangazi
Ivi taifa cup iliishia wapi?
 
Mkuu.. nimetafuta nimepata hii link kuhusu Taifa cup.. ni kweli tumepotea..

Ngoja nipate njia nzuri niilete kama thread mpya juu ya taifa cup

Taifa cup ndiyo ulikuwa mfumo mzuri wa kupata vipaji kwa nchi nzima, lakini Watanza wenye Nia wapi Dar hivyo usitegemee kumuona muha kuitwa timu ya taifa mpaka aje Dar vinginevyo mpaka aje kwa shangazi
 
Hakuna wewe ni mzalendo, kwa kweli ni upuuzi kudhani kuwa wchezaji wazuri wanatoka Dar pekee, lakini uvyama unaweza usifanikishe Hilo zoezi. Kwa kuwa kila kitu ni ilani, nadhani ipo haja ya kupendekendekza ilani ya chama 2020 over.
Mkuu.. nimetafuta nimepata hii link kuhusu Taifa cup.. ni kweli tumepotea..

Ngoja nipate njia nzuri niilete kama thread mpya juu ya taifa cup

Hakika
Hakuna wewe ni mzalendo, kwa kweli ni upuuzi kudhani kuwa wchezaji wazuri wanatoka Dar pekee, lakini uvyama unaweza usifanikishe Hilo zoezi. Kwa kuwa kila kitu ni ilani, nadhani ipo haja ya kupendekendekza ilani ya chama 2020 over.
 
Kaseja_Kigoma
Yondani_ Mwanza
Nyoni_Songea.
Lyanga_Tanga.
Fei Toto_Mchamba wima.
 
Ukiangalia timu ya taifa ambayo haijawahi kuleta matunda yoyote kwa taifa hili inaundwa na Mkoa wa dar es salaam kwa zaidi ya 80%

Pendekezo langu timu ya taifa uindwe kwa uwakilishi wa kimikoa au kanda ili kuleta taswira nzuri ya taifa na kupata vipaji nje ya dar ea salaam.

Hii ni kuanzia timu za vijana hadi taifa stars.

Mfano kanda ya pwani itoe wachezaji 4 kaskazini kwa kina masawe nako 4, kanda ya ziwa kwa kina ngosha 4 na njanda za juu kusini kwa kina mwantika nako 4.. na wanao baki ni kanda ya kati na kusini.

Nadhani hata ukisikia kikosi cha timu ya taifa utaona fahari.

Naamini TFF watazingatia hili.

Kwa niaba ya chama cha walalamikaji Tanzania (CCWT)
Wachague toka Pemba tu.
 
Hilo haliwezekani. Labda tungeruhusu uraia pacha, ingekua ni rahisi kupata mamluki kutoka nchi nyingine waliokosa nafasi kwenye timu zao za Taifa na hivyo kuwachukua na kuja kutuongezea nguvu kwenye timu yetu ya Taifa kama walivyofanya Madagascar.

Sasa bahati mbaya wanasiasa wetu wanaogopa kuruhusu huo mchakato huku wakitoa sababu zisizo eleweka.
 
Soka la tanzania limekaa muundo wa pyramid, wachezaji wote wenye talanta, hutamani siku moja kucheza simba au yanga na sasa azam, sasa ya nini ukatafute kipaji ruvu shooting wakati muda ukifika kipaji kikiiva kitavutwa simba, yanga au azam? Ndio maana unaona timu ya taifa ina chotwa kwenye hizo club kubwa kwa asilimia kubwa
 
Back
Top Bottom