Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Ukiangalia timu ya taifa ambayo haijawahi kuleta matunda yoyote kwa taifa hili inaundwa na Mkoa wa dar es salaam kwa zaidi ya 80%
Pendekezo langu timu ya taifa uindwe kwa uwakilishi wa kimikoa au kanda ili kuleta taswira nzuri ya taifa na kupata vipaji nje ya dar ea salaam.
Hii ni kuanzia timu za vijana hadi taifa stars.
Mfano kanda ya pwani itoe wachezaji 4 kaskazini kwa kina masawe nako 4, kanda ya ziwa kwa kina ngosha 4 na njanda za juu kusini kwa kina mwantika nako 4.. na wanao baki ni kanda ya kati na kusini.
Nadhani hata ukisikia kikosi cha timu ya taifa utaona fahari.
Naamini TFF watazingatia hili.
Kwa niaba ya chama cha walalamikaji Tanzania (CCWT)