Kanina
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 277
- 81
Ndugu zangu, uchaguzi wa mwaka huu, kama zilivyokuwa kwa chaguzi zingine zilizopita, pamoja na kutumia gharama nyingi, lakini pia zimeacha makovu mengi na hata kuhatarisha usalama wa nchi.
Pamoja na mikakati mingi ya hadharani na gizani, ni dhahiri kwamba, TIS nao hawakuwa mbali na mchakato huu..., na pengine ndio wametuchagulia Rais...!
Kwasababu hizo, ni vyema tukafanya mabadiliko ya kikatiba ya kuwaruhusu wazee wa kitengo watumie mbinu wanazozijua (za kisheria) kututafutia Rais wa JMT anayetufaa ambaye hatatokana na chama chochote cha siasa na sie tupambane kwenye level ya udiwani na ubunge tu.
NAWAKILISHA...!